Lengo Letu

Yesu Kristo haki yetu Tu wahubiri waliopokea wito wa bwana Yesu Kristo mkombozi wetu wa kuhubiri habari njema ulimwenguni kote.(Matayo 28:16-20),sana sana katika siku hizi za mwisho ambazo zimejaa uasi na kukosa matumaini katika jamii tofauti za maisha: Wadogo kwa wakubwa,matajiri kwamasikini na walio huru kwa watumwa.Ni katika Yesu Kristo pekee yeye mwamba wa milele, tunaweza kugenga uzima wetu tukawa na matumaini ya leo na ya milele yote. Tunaamini kuwa Yesu yu karibu kurudi kuokoa waliomuamini wote,ataondoa dhambi na wenye dhambi, ataondoa yule muovu shetani na roho zote za giza,ataondoa mauti.Ndio maana tunawaitia kutubu.

{% comment %}

Zaburi, Imirongo & Minisiteri

{% endcomment %}

“Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani; ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu.”

“Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, naliyahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo; tena nionekane katika yeye, nisiwe na haki yangu mwenyewe ipatikanayo kwa sheria, bali ile ipatikanayo kwa imani iliyo katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu, kwa imani ”

“ Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake. Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu. Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.”

Yesu Kristo haki yetu

“Mu gihe cye Yuda azakizwa kandi Isirayeli azibera amahoro, iri ni ryo zina rya Shami rizitwa: UWITEKA GUKIRANUKA KWACU.” Yeremiya 23:6

19th of June - Church Sermons

Donec orci lectus, aliquam ut, faucibus non, euismod id, nulla. Fusce fermentum odio nec arcu integer tincidunt cras ultricies sem orci lectus, aliquam ut, faucibus non, aliquam ut.

1rd of September - Ministries

Cras ultricies sem orci lectus, aliquam ut, faucibus non, aliquam ut onec orci lectus, aliquam ut, faucibus non, euismod id, nulla. Fusce fermentum odio nec arcu integer tincidunt.